MFUMO WA KISASA WA WIFI BUSINESS

Simamia Biashara Yako ya WiFi kwa Urahisi na Ufanisi

KITONGA WiFi inakupa mfumo mmoja wa kusimamia Internet Billing, Vocha, Wateja, MikroTik Routers, Sites, Vifurushi, Malipo na biashara yako yote ya WiFi.

Rahisi kutumia
Salama kabisa
Inafanya kazi na MikroTik
100% Responsive
Admin Demo
Wallet Balance
TZS 250,000
Customers
1,248
Online Users
356
Today's Sales
TZS 480,000
Mauzo ya Wiki Hii +24%
Main Site MikroTik Online

0

Routers Zilizounganishwa

0

Wateja Wanaohudumiwa

0

WiFi Sites

24/7

Monitoring & Support

VIPENGELE VIKUU

Vifaa Vyote Unavyohitaji Kusimamia WiFi Business

Usitumie mifumo mingi inayochanganya. KITONGA WiFi inakupa kila kitu sehemu moja.

WiFi Billing

Simamia matumizi ya internet, billing na sessions za wateja kwa urahisi na uhakika.

Vocha System

Tengeneza, simamia na print vocha zako kwa batch au moja moja kwa haraka.

MikroTik Integration

Unganisha na kusimamia MikroTik Routers zako moja kwa moja kupitia API salama.

Captive Portal

Wape wateja portal nzuri ya kuingia, kununua vifurushi na kuangalia matumizi.

Usimamizi wa Wateja

Simamia taarifa, vifurushi, matumizi na active sessions za wateja wako.

Vifurushi Unavyotaka

Tengeneza MB, GB, Unlimited na Time Based Packages kulingana na soko lako.

Wallet & Malipo

Simamia salio, malipo ya mtandao, miamala na gharama za mfumo kiurahisi.

Ripoti za Kina

Pata ripoti za mauzo, mapato, matumizi na performance ya biashara yako.

HATUA RAHISI

Jinsi KITONGA WiFi Inavyofanya Kazi

Anza kuendesha biashara yako kwa hatua nne tu rahisi.

01

Jisajili

Fungua akaunti ya KITONGA WiFi kwa sekunde chache tu.

02

Ongeza Site

Ongeza eneo lako la biashara na taarifa zake za msingi.

03

Unganisha MikroTik

Pata provisioning command na uiweke kwenye MikroTik yako.

04

Anza Kuuza

Tengeneza vifurushi, vocha na anza kuwahudumia wateja.

Unganisha MikroTik Yako kwa Sekunde Chache

KITONGA WiFi imeundwa kufanya usimamizi wa MikroTik kuwa rahisi. Ongeza Router yako, pata secure provisioning command na iunganishe na mfumo wako bila usumbufu wowote wa kiufundi.

JIFUNZE ZAIDI
/tool fetch url="https://kitonga.co.tz/api/provision/DEMO_TOKEN_XXXXXX" dst-path="kitonga.rsc" check-certificate=yes

/import kitonga.rsc

/file remove "kitonga.rsc"
OPPORTUNITY

Anza Biashara ya WiFi Ukiwa Agent wa KITONGA

KITONGA inakupa mfumo wa kusimamia Sites, Routers, Wateja, Vifurushi, Vocha, Mauzo na Salio kutoka sehemu moja.

INDEPENDENT AGENT

Nunua Internet yako kutoka ISP unayemchagua na tumia KITONGA kusimamia biashara yako.

10% KITONGA Fee
  • Tumia ISP wako mwenyewe
  • Simamia MikroTik zako
  • Tengeneza na Print Vocha
  • Simamia Wateja & Analytics
KUWA AGENT
VOCHA SYSTEM

Vocha Zako, Biashara Yako

Tengeneza vocha kwa batch, print au download PDF na uanze kuuza kwa wateja wako bila ukomo.

KITONGA WiFi

5GB - TZS 3,000
Valid Until: 30/08/2026
K

KITONGA WiFi

Karibu kwenye Mtandao

AU VOCHA
VIFURUSHI

Vifurushi Vinavyokufaa

Mifano ya vifurushi unavyoweza kutengeneza na kuwauzia wateja wako.

DAILY
TZS 500 / 500MB

Muda: Masaa 24

NUNUA
WEEKLY
TZS 3,000 / 5GB

Muda: Siku 7

NUNUA
UNLIMITED
TZS 20,000 / Mwezi

Muda: Siku 30 Unlimited

NUNUA
FAIDA

Kwa Nini Uchague KITONGA WiFi?

01

Rahisi Kutumia

Interface rahisi kutumia hata kama si mtaalamu wa IT.

02

Salama Kabisa

Data na akaunti zako zinalindwa kwa security ya kisasa.

03

Inakua na Biashara

Anza na Router moja na panua hadi Routers nyingi.

Usalama Kwanza Kwenye Kila Hatua

Secure Authentication
Encrypted Connections
Role Based Access
API Security
MASWALI YA MARA KWA MARA

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

1. KITONGA WiFi ni nini?
KITONGA WiFi ni mfumo wa kisasa wa kusimamia biashara za WiFi, Internet Billing, MikroTik Routers, Vocha, na Wateja kutoka sehemu moja.
2. Je KITONGA inafanya kazi na MikroTik?
Ndio, KITONGA ina direct integration na MikroTik Routers kupitia API salama na provisioning commands.
3. Ninaweza kusimamia Sites nyingi?
Ndio, unaweza kuongeza na kusimamia maeneo (Sites) mengi tofauti kutoka kwenye dashboard yako moja.

Uko Tayari Kubadilisha Biashara Yako ya WiFi?

Anza kutumia KITONGA WiFi leo na simamia biashara yako kutoka sehemu moja kwa ufanisi wa hali ya juu.

ANZA SASA INGIA KWENYE MFUMO